Wednesday, May 16, 2012

REST IN PEACE PATRIC MAFISANGO



Kwa habari zilizotufikia hivi punde , mchezaji wa timu ya simba PATRICK MAFISANGO amefariki dunia baada ya kupata ajali mbaya ya gari . Katika harakati za kukwepa pikipiki maeneo ya tazara jijini Dar es salaam , gari la Mafisango lilitumbukia mtarani na kupelekea kifo cha mchezaji huyo. MUNGU ALITOA , MUNGU AMETWAA , JINA LAKE LIHIMIDIWE.

No comments:

Post a Comment